Luka Doncic katika mechi iliyochezwa kati ya Lakers na Philadelphia 76ers alivaa kiatu chenye ujumbe wa watoto wake wawili Gabriela na Olivia.

Olivia ni Binti yake ambaye amezaliwa mwezi huu December 2025. #GO pic.twitter.com/PgHuGwQsMi

— GURU (@SharoGangstar) December 8, 2025